https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    DEREVA WA MBIO ZA LANGALANGA FERNANDO ALONSO ANUSURIKA KIFO


    Dereva wa mbio za Langalanga Fernando Alonso amenusurika kifo kimiujiza baada yakupata ajali katika mbio za Australian Grand Prix na gari lake kuharibika vibaya baada ya kugongwa na Esteban Gutierrez katika mzunguko wa 18.
                       Gari la Alonso likijibamiza kwenye uzio wa ukuta baada ya kugongwa
                  Fernando Alonso akitoka kwenye gari lililoteketea baada ya kupata ajali
    Katika mbio hizo Nico Rosberg wa Mercedes alifanikiwa kutwaa nafasi ya kwanza, bingwa wa dunia wa mbio hizo Lewis Hamilton naye wa Mercedes alishika nafasi ya pili na nafasi ya tatu ilitwaliwa na Sebastian Vettel wa Ferrari.
       Lewis Hamilton akimwagia Champagne usoni Nico Rosberg huku Sebastian Vettel akiangalia
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: DEREVA WA MBIO ZA LANGALANGA FERNANDO ALONSO ANUSURIKA KIFO Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top