Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae ni mgombea wa
Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk.Ali Mohamed Shein
akipiga kura katika uchaguzi wa marudio kituo namba 1cha kupiga kura
namba 1 Skuli ya msingi Bungi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
leo,Wananchi
wa Zanzibar leo wanapiga kura katika uchanguzi wa marudio baada ya
kufutwa kwa uchanguzi uliofanyika October 25,2025 kutokana na kasoro
zilizojitokeza.
Makamu wa Pili wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Balozi Seif Ally Iddi akiwa katika maandalizi ya kupiga kura katika uchaguzi wa marudio kituo cha Skuli ya Kitope, Wilaya ya Kaskazini B , Mkoa wa Kaskazini. Makamu wa Pili wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Balozi Seif Ally Iddi akipiga kura katika uchaguzi wa marudio katika kituo cha Skuli ya Kitope, Wilaya ya Kaskazini B , Mkoa wa Kaskazini.
Makamu
wa Pili wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Balozi Seif Ally Iddi
akizungumza na baadhi ya Waandishi wa Habari mara baada ya kupiga kura katika uchaguzi wa marudio kwenye kituo cha Skuli ya Kitope, Wilaya ya Kaskazini B , Mkoa wa Kaskazini.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh.January
Makamba akizungumza na Waandishi wa habari akielezea hali halisi ya
mwenendo wa upigaji kura katika uchaguzi wa marudio kituo namba 1cha
kupiga kura namba 1 Skuli ya msingi Bungi Wilaya ya Kati Mkoa wa
Kusini Unguja leo.
Mkazi wa chake chake akizungumza.na wanahabari ( hawapo pichani) mara baada ya kutoka kupiga kura
Baadhi ya Wakazi wa Madungu wakiangalia majina yao kwenye kituo cha kupigia kura
kituo cha kupigia kura cha skuli ya Madungu chake chake Pemba.
Baadhi ya wananchi wakihakiki majina yao kabla ya kuingia kupiga kura katika kituo cha skuli ya Raha Leo.












0 comments:
Post a Comment