https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    JEANS ILIYOCHANWACHANWA NI FASHENI AMA UKICHAA ?



    Hivi karibuni mtindo wa uvaaji wa jeans zilizochanwa umepata umaarufu katika nchi za Afrika Mashariki katika kile vijana wanadai kwenda na mitindo ya wakati.

    Uvaaji wa jeans hizo ambazo watengenezaji huzichanachana na kuonekana kama zilizochakaa, umekuwa kivutio kwa vijana wengi huku wakiacha sehemu zao za mwili zikiwa wazi.
                           Kijana akiwa amevaa jeans iliyochanika utadhani imeliwa na panya
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: JEANS ILIYOCHANWACHANWA NI FASHENI AMA UKICHAA ? Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top