Dubai ni mji ambao kwa sasa watanzania wengi wanaenda kwa ajili ya kufanya biashara mbalimbali, Dubai
umekua kwa haraka zaidi kutokana na kuweka vizuri njia za ukusanyaji wa
mapato na ni mfano ya mji ambao Uongozi wake unafanya kazi kwa kuwa
baada ya miaka 25 macho ya Dunia nzima yamehamia Dubai.
Dubai 1990
Mtaa uleule ambao picha yake iko juu hapo ulivyobadilika 2003
Hii ni Dubai Waterfront, ikikamilika itakuwa ndio waterfront kubwa Duniani
Yote hii ilijengwa katika miaka mitano iliyopita, ikiwa ni pamoja na kuwa kisiwa mwonekano wake ni kama mtende
Hoteli
ya Burj al- Arab Dubai ndio hoteli ndefu Duniani na yenye hadhi ya
nyota 7 na ina vivutio vingi ikiwa ni pamoja na uwanja wa Tennis ulio
juu.
Hii ndio Hoteli ya kwanza chini ya maji Duniani.
Ujenzi wa Al Burj ulianza mwaka 2005 na ilichukua miaka 6 kukamilika.
Muonekano wa Dubai Mwaka 2016



0 comments:
Post a Comment