https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    KAMPUNI YABUNI BASTOLA INAYOFANANA KILA KITU NA SIMU YA MKONONI


    Kampuni moja imebuni bastola ambayo kwa muonekano wa kawaida mtu hawezi kuitambua na kudhani kuwa ni simu ya mkononi tu.

    Silaha hiyo ya Ideal Conceal inangojea kuridhiwa na mamlaka husika ikiwa ni bastola ya 380 caliber yenye muonekano wa simu yenye kamera na sehemu ya kuwekea headphone.

    Muundo huo wa bastola umewavutia watu wengi ambao wanangojea ianze kutolewa sokoni wanunue, lakini kundi la wapiga silaha linahofu itachochea uhalifu wa silaha.
                  Bastola hiyo inavyoonekana baada ya kuifungua tayari kwa kuitumia
               Bastola hiyo inapogeuka kuwa kama simu na kuwekwa mfukoni namna hii
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: KAMPUNI YABUNI BASTOLA INAYOFANANA KILA KITU NA SIMU YA MKONONI Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top