https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    MBUNIFU JOCKTAN MAKEKE AWAKILISHA TANZANIA KATIKA MAONYESHO YA MAVAZI YA AFRIKA MASHARIKI (EAST AFRICA FASHION WEEK) JIJINI NAIROBI



     Show ya Makeke imefanyika jana tarehe 26 March 2016 kwenye hotel ya Boma Inn Nairobi. Maonesho haya makubwa ya mitindo yamejumuisha nchi mwanachama wa Afrika Mashariki yaani Tanzania, Kenya, Rwanda, Burundi, Uganda na Sudan Kusini. Makeke kaenda kuiwakilisha collection  yake inaitwa THE AFRICAN BEAUTY IN THE DARKNESS - TABID, au uzuri wa Afrika gizani  kwa Kiswahili.
    Giza inawakilisha utamaduni wa Magharibi ambao kwa sasa umekua kwa kasi mno katika bara la Afrika na kutufanya waafrika kusahau utamaduni wetu. Lakink licha ya kuzungukwa na hili giza zito la umagharibi lakin bado Afrika inameremeta kwani kuna tamaduni zetu nzuri ambazo zinafaa kuigwa duniani kote. Makeke ametumia malighafi za asili kutengeneza mavazi yake na nakshi asili za kiafrika. Makeke anarejea Tanzania kesho jioni 






    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: MBUNIFU JOCKTAN MAKEKE AWAKILISHA TANZANIA KATIKA MAONYESHO YA MAVAZI YA AFRIKA MASHARIKI (EAST AFRICA FASHION WEEK) JIJINI NAIROBI Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top