https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    MKUU WA MAJESHI KATIKA PICHA YA PAMOJA NA MAJENRALI WAKUU WA MIKOA


     
    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange (wa tatu kutoka kushoto) katika picha ya pamoja na wakuu wa Mikoa ma Jenerali wastaafu mara baada ya kuapishwa,walipomtembelea ofisini kwake Upanga Dar es salaam.Kutoka kushoto ni Meja jenerali mstaafu Raphael Muhuga (Mkuu wa Mkoa wa Katavi),Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu (Mkuu wa Mkoa wa Kagera),kutoka kulia Brigedia Jenerali mstaafu Emmanuel Maganga (Mkuu wa Mkoa wa Kigoma) na Meja Jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga (Mkuu wa Mkoa wa Geita).Kushoto kwa Mkuu wa Majeshi ni Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali Venance Mabeyo.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: MKUU WA MAJESHI KATIKA PICHA YA PAMOJA NA MAJENRALI WAKUU WA MIKOA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top