https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Picha: Wafuasi wa CHADEMA Wafurika Mahakamani Kufuatilia Kesi ya Ezekiel Wenje ...Polisi Walazimika kutumia nguvu ya ziada kuimarisha ulinzi

    Mamia ya wafuasi wa CHADEMA  wakiongozwa  na  Mwenyekiti  wao Freeman Mbowe leo  wamefurika mahakama  kuu  jijini  Mwanza katika kesi ya  mbunge wa zamani wa Nyamagana, Ezekiel Wenje (CHADEMA)  anayepinga  matokeo  ya  Stanslaus Mabula (CCM). 


    Polisi  wametumia  nguvu  ya  ziada  kuhakikisha  ulinzi  unaimarika  mahakamani  hapo
    Ezekia Wenje akiwa  Mahakamani
    Mbunge wa Nyamagana Stanslaus Mabula akiwa mahakamani
    Ezekiel Wenje akisubiri kutoa ushahidi

    Freeman Mbowe na  Ezekiel Wenje wakiwa mahakamani
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Picha: Wafuasi wa CHADEMA Wafurika Mahakamani Kufuatilia Kesi ya Ezekiel Wenje ...Polisi Walazimika kutumia nguvu ya ziada kuimarisha ulinzi Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top