https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    PICHA ZA SHAMBULIZI LA KUTUMIA SILAHA LILILOUWA WATU 16 IVORY COAST


    Wanajeshi wakiangalia mtu aliyejruhiwa kwa risasi akiwa hoi kwenye ufukwe wa hoteli ya Hoteli ya L'Etoile du Sud, Ivory Coast
                  Watumishi wa Chama cha Msalaba Mwekundu wakibeba miili ya watu waliokufa
    Mwanajeshi akiongea na mtoto aliyenusurika katika tukio hilo la kushambuliwa kwa risasi na mtu mwenye silaha, watu 16 walikufa
    Mmoja wa raia wa kigeni aliyejeruhiwa akiwa amepakiwa kwenye gari na kukimbizwa hospitali
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: PICHA ZA SHAMBULIZI LA KUTUMIA SILAHA LILILOUWA WATU 16 IVORY COAST Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top