https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    WAFANYAKAZI WANAWAKE WA TBL GROUP WA MWANZA, MBEYA NA ARUSHA WAPATIWA ELIMU YA MAFANIKIO


    Bi.Anne Killango Malecela akitoa somo
    Wanawake wa TBL Arusha katika picha ya pamoja na Bi.Killango
    Wanawake wa TBL Mbeya wakipata burudani na Mkuu wa wilaya
    Jaji De-Mello akiongea na wanawake wa TBL Group wa Mwanza
    Baadhi ya washiriki wa TBL forum Mwanza wakiwa  kwenye picha ya pamoja
    Baadhi ya washiriki wa Forum wa  Arusha wakiwa na   Bi.Killango 
    Na Woinde Shizza ,Arusha.
     
    Wafanyakazi wanawake wa TBL Group wa Mwanza,Mbeya na Arusha wapatiwa elimu ya mafanikio

    -Ni kupitia makongamano ya TBL Forum

    Kampuni ya TBL Group mwishoni mwa wiki iliandaa kongamano la kuwajengea uwezo wa mbinu za mafanikio kwa wafanyaazi wanawake katika mikoa ya Arusha,Mbeya na Mwanza ambapowalipata kujifunza mbinu za mafanikio na jinsi ya kujiamini katika kazi zao.

    Wazungumzaji wakuu katika kongamano hilo la TBL Women Forum walikuwa ni Mkuu wa Wilaya ya Kyela,Bi.Thea Ntara (Mbeya),Bi.Anne Malecela Killango (Arusha) na Jaji Joaquine De-Mello ambao walitumia elimu na uzoefu mkubwa walionao katika kazi kuwaelimisha waawae wenzao mbinu za kupata mafanikio ambapo walisisitiza kufanya kazi kwa bidii na kwa ufanisi na kujiamini.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: WAFANYAKAZI WANAWAKE WA TBL GROUP WA MWANZA, MBEYA NA ARUSHA WAPATIWA ELIMU YA MAFANIKIO Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top