Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiingia kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dares
salaam kuzungumza na wawakilishi wa Mawakala wa Forodha na Bandari leo
Machi 21, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akipekuwa baadhi ya nyaraka zinazoonyesha jinsi
wizi wa fedha za serikali uliofanywa kwenye bandari ya Dar es salaam
ukihusisha mabenki wakati akizungumza na Mawakala wa Forodha na
Bandari kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo.
Baadhi
ya Mawakala wa Forodha na Bandari wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar
es salam leo Machi 21, 2016.
Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania, (TRA), Alphayo Kidata akitoa ufafanuzi wa hoja mbalimbali zilizozuka katika mkutano na Waziri Mkuu
Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania, (TRA), Alphayo Kidata akitoa ufafanuzi wa hoja mbalimbali zilizozuka katika mkutano na Waziri Mkuu
(Picha na Ofisi ya Wziri Mkuu).


0 comments:
Post a Comment