Album
mpya ya Beyonce ‘LEMONADE’ imetoka na kukamata vichwa vya habari huku
ikizungumzia mume wake Jay Z kuchepuka na mwanamke maarufu nchini
Marekani.
Mwanamke
huyu ametajwa kwenye wimbo wa “Sorry,” Beyonce aliposema “He only want
me when I’m not there/ He better call Becky with the good hair.”.
Becky
huyu ni Rachel Roy, ambaye aliwahi kuwa mke wa Dame Dash [Rafiki mkubwa
wa zamani wa Jay Z,walianzisha lebel ya Roc A Fella pamoja].
Rachel
Roy alijibu kwa kuandika maneno haya Twitter “I respect love,
marriages, families and strength, What shouldn’t be tolerated by anyone,
no matter what, is bullying, of any kind.” akimaanisha [Naheshimu sana
mapenzi, ndoa, familia na nguvu,tusikubali mtu yoyote atuonee].
Kabla ya twit hio aliweka insta post akitania mstari wa Beyonce wa Nywele kwa kuandika
“Good hair, don’t care, but we will take good lighting, for selfies, or self truths, always,”
Roy ametajwa kuwa sababu ya Solange Knowles kumpiga Jay Z kwenye lift mwaka 2014.


0 comments:
Post a Comment