https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Imetangazwa noti yenye muonekano mzuri kuliko zote duniani kwa mwaka 2016

    Mkutano wa Mwaka wa ‘International Bank Note Society’s ‘IBNS’ umetambua ubunifu wa kutengeneza noti za fedha zenye muonekano mzuri na usalama zaidi. Katika mkutano wao wa mwaka IBNS wameitangaza noti ya Dollar 5 ya New Zealand kuwa noti nzuri ya Mwaka kwenye mashindano ya kimataifa ambapo noti ishirini kutoka duniani kote zilikuwa zimeteuliwa kuwania tuzo hiyo na mshindi alichaguliwa na wanachama wa IBNS.
    fedha 1
    fedha 2
    Unaweza kuniachia comment yako umeionaje noti hii mwonekano wake?
    Hizi ni baadhi ya noti ambazo zilishindanishwa pamoja na noti ya New zealand  
    Sweden’s 20 kronor
    sweden
    Noti ya Scotland £ 5
    scotland

    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Imetangazwa noti yenye muonekano mzuri kuliko zote duniani kwa mwaka 2016 Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top