https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Mwafrika wa kwanza kushinda Tuzo ya PFA ametangazwa leo April 24, amewahi kuifunga Tanzania

    Usiku wa April 24 imetangazwa good news  kwa soka la Afrika, huu sio ushindi wa taifa la mchezaji husika ila  ni fahari ya Afrika nzima, winga mshambuliaji wa kimataifa wa Algeriaanayeichezea klabu ya Leicester City ya Uingereza Riyad Mahrez ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya PFA 2015/2016 (Professional Footballers Association).
    Riyad Mahrez ametangazwa kushinda tuzo hiyo mbele ya wachezaji kama Mesut Ozilwa ArsenalJamie Vardy wa Leicester CityHarry Kane wa SpursN’golo Kante waLeicester CityDimitri Payet wa West Ham United, PFA ni tuzo za wachezaji bora wa kulipwa.
    Editorial use only. No merchandising. For Football images FA and Premier League restrictions apply inc. no internet/mobile usage without FAPL license - for details contact Football Dataco Mandatory Credit: Photo by Alex James/JMP/REX/Shutterstock (5541624ae) Riyad Mahrez of Leicester City- Mandatory byline: Alex James/JMP Aston Villa v Leicester City, Great Britain - 16 Jan 2016
    Riyad Mahrez
    Kama utakuwa unakumbuka vizuri Riyad Mahrez ndio alikuwa mchezaji wa Algeriaaliyefunga goli la nne dakika ya 43 katika ushindi wa goli 7-0 dhidi ya Taifa StarsNovember 17 2015 na kuIondoa Tanzania katika mbio za kuwania kufuzu michuano ya Kombe la Dunia 2018.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Mwafrika wa kwanza kushinda Tuzo ya PFA ametangazwa leo April 24, amewahi kuifunga Tanzania Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top