Thalia Almodovar baada kubadilisha muonekano wake.
Katika pozi.
...Akitabasamu.
Katika muonekano wake mpya
Thalia
Almodovar alizaliwa mwanamme lakini amejibadilisha na kuwa mwanamke
mwenye muonekano wa mwanamitindo maarufu wa Kim Kardashian. Mtu huyo
ambaye anajulikana kama Bwana/Bibi Almodovar mwenye umri wa miaka 28
anafaidi fursa mbalimbali katika migahawa na vilabu mbalimbali kutokana
na muonekano huo. Almodovar alifanya hivyo kwani ni shabiki wa kutupa
wa Kim.


0 comments:
Post a Comment