https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    TIMU YA MANCHESTER UNITED YATINGA FAINALI ZA FA


    Goli la Anthony Martial la dakika za mwisho limeipatia Manchester United ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Everton katika dimba la Wembley.

    Martial alikihakikishia kikosi cha Louis van Gaal kukutana na Crystal Palace ama Watford kwa kumalizia vizuri pande katika dakika za lalasalama.

    Marouane Fellaini alikuwa wa kwanza kupachika goli la kwanza kwa Manchester United, na kisha baadaye kipa David de Gea akafuta penati ya Romelu Lukaku. Smalling alijifunga goli moja.
                                         Kipa David de Gea akipangua penati ya Romelu Lukaku
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: TIMU YA MANCHESTER UNITED YATINGA FAINALI ZA FA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top