https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Wenger:Arsenal ilipoteza taji la ligi nyumbani

    Image copyrightReuters
    Image captionArsene Wenger
    Mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger amesema kuwa timu yake ilipoteza harakati za kushinda ligi wakati wa kucheza mechi za nyumbani dhidi ya timu zilizo chini ye jedwali.
    Arsenal iliopo katika nafasi ya nne imeshinda mechi sita kati ya mechi 16 ilizocheza.
    Baadhi ya mashabiki wamemtaka raia huyo wa Ufaransa kuondoka katika mechi za hivi karibuni.
    Ni lazima tujue kwamba ugenini tumekuwa washindi .
    Image captionArsenal
    Lakini nyumbani dhidi ya timu ndogo tulipoteza pointi nyingi,alisema Wenger.
    Maandamano zaidi yanatarajiwa wakati wa mechi ya Jumamosi katika uwanja wa Emirates dhidi ya Norwich
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Wenger:Arsenal ilipoteza taji la ligi nyumbani Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top