Home > News > Basi la Mwendo Kasi Lagonga na Kuua Mtoto Jijini Dar es Salaam News Basi la Mwendo Kasi Lagonga na Kuua Mtoto Jijini Dar es Salaam Basi la mwendo kasi ( DART) limemgonga na kumuua mtoto huku mama yake akinusurika baada ya pikipiki waliyokuwa wamepanda kushindwa kulipita basi hilo Ajali hiyo imetoke leo katika eneo la Shekilango jijini Dar es Sallam. Pikipiki iliyohusika kwenye ajali hiyo 19:55:00 News
0 comments:
Post a Comment