https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    JAHAZI LA NORWICH CITY LAELEKEA MUELEKEO WA KUSHUKA DARAJA


    Nafasi ya timu ya Norwich City kuepuka kushuka daraja inaonekana kuzidi kuyeyuka baada ya kufungwa nyumbani kwao na Manchester United goli moja kwa bila.

    Mchezo huo ulikuwa na nafasi chache mno za kufunga, lakini bahati ilikuwa kwa Manchester United iliyofanikiwa kupata goli moja lililofungwa na Juan Mata.

    Hata hivyo kabla ya goli hilo Cameron Jerome, alipata nafasi nzuri sana kwa Norwich kufunga, lakini kipa David de Gea aliokoa mpira huo wa kichwa.
                                                 Juan Mata akifunga goli pekee katika mchezo huo
                                          Wayne Rooney akinyanyua mguu juu kutuliza mpira
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: JAHAZI LA NORWICH CITY LAELEKEA MUELEKEO WA KUSHUKA DARAJA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top