https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    MOTO WAUWA WANAFUNZI WA KIKE 18 NCHINI THAILAND

    Wanafunzi 18 wenye umri wa kuanzia miaka mitano hadi 12 wamekufa moto baada ya bweni lao kuwaka moto nchini Thailand.

    Wanafunzi hao wakike ni wa kwenye shule ya Pitakiatwittaya walikufa baada ya kukwama ndani ya bweni wakati moto huo ulipotokea.

    Wanafunzi wengine wawili hawajulikani walipo na wengine wameungua vibaya baada ya moto huo kutokea jana majira ya saa tano usiku. 
                                          Vikosi vya zimamoto vikiendelea na juhudi za uokoaji

                 Miili ya wanafunzi waliokufa kwa moto ikiwa imehifadhiwa hospitali
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: MOTO WAUWA WANAFUNZI WA KIKE 18 NCHINI THAILAND Rating: 5 Reviewed By: Anonymous
    Scroll to Top