Mwanaume mmoja amekamatwa kwa kuhusika na kushambulia basi la timu ya Manchester United nje ya uwanja wa timu ya West Ham.
Mtuhumiwa huyo mwenye umri wa miaka 28, amejisalimisha mwenywe katika kituo cha polisi cha masharikimwa London siku ya jana.
Mtu huyo anahisiwa kuwa na matatuzo ya kupenda ghasia, na alipatiwa dhamana hadi kati kati ya mwezi Agosti.
Basi la wachezaji wa Manchester United likishambuliwa na mashabiki wa West Ham
Kioo cha tinted cha basi la Manchester United kikiwa kimevunjika kutokana na shambulio la mtu aliyejisalimisha jana.





0 comments:
Post a Comment