Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akihutubia
wakati wa kufungua mashindano ya tatu ya kombe la Mkuu wa Majeshi (CDF
Cup - 2016) kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Mkuu
wa Mafunzo na Utendaji Kivita Meja Jenerali Issa Nassor akihutubia
wanamichezo wa kijeshi kwenye sherehe za ufunguzi wa mashindano ya tatu
ya kombe la Mkuu wa Majeshi (CDF Cup - 2016) kwenye uwanja wa Uhuru
jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akipiga penati
ikiwa ishara ya kufungua mashindano ya tatu ya kombe la Mkuu wa Majeshi
(CDF Cup - 2016) kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiwatakia heri
timu ya Tembo kutoka Ruvuma na Kombaini ya Vikosi vya JKT kabla ya
kuanza mechi yao kwenye mashindano ya tatu ya kombe la Mkuu wa Majeshi
(CDF Cup - 2016) kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiwa kwenye
picha ya pamoja na wachezaji wa timu ya Tembo pamoja na Kombaini ya JKT
mara baada ya kufungua mashindano ya tatu ya kombe la Mkuu wa Majeshi
(CDF Cup - 2016) kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.


0 comments:
Post a Comment