https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Serikali Yasalimu Amri..Yaipa NIDA Sh Bilion 2.3 Kulipa Watumishi 597 Waliosimamishwa Kazi



    Serikali imeipa Shilingi Bilioni 2.3 Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa(NIDA), kwa ajili ya kuwalipa watumishi 597 waliosimamishwa kazi.

    Malipo hayo yanahusisha mishahara yao ya miezi minne, ukiwemo mshahara wa mwezi mmoja wa notisi ya kusimamishwa kazi, pamoja na malimbikizo ya madeni yao katika mifuko ya hifadhi ya jamii.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Serikali Yasalimu Amri..Yaipa NIDA Sh Bilion 2.3 Kulipa Watumishi 597 Waliosimamishwa Kazi Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top