https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Shambulio la Kujitoa Mhanga Laua Watu 14 Iraq

    Takribani watu 14 wamepoteza maisha huku zaidi ya 20 wakijeuhiwa vibaya katika shambulio la kujitoa mhanga lililotokea kwenye kiwanda cha gesi kaskazini mwa mji Mkuu wa Iraq, Baghdad.
    gari

    Msemaji wa Jeshi la Iraq amesema gari lililokuwa limetegwa milipuko lililipuka karibu na lango la kuingia kwenye kiwanda hicho leo asubuhi na baadaye washambuliaji sita wa kujitoa mhanga wakaingia ndani ya kiwanda hicho ambapo walikabiliana na maofisa wa usalama.
    Kundi la IS limekiri kuhusika na shambulio hilo.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Shambulio la Kujitoa Mhanga Laua Watu 14 Iraq Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top