Rapa
kutoka Kenya, Prezzo, ambaye hivi karibuni amemvalisha pete ya uchumba
mpenzi wake Michelle Oyola ambaye hivi karibuni amekuwa karibu sana na
Prezzo
aliwahi kufikia hatua hii na wanawake wawili ambaye ni mama mtoto wake
Daisy na marehemu Goldie, kwa sasa mitandao ya kijamii Kenya imeshikwa
na taarifa hizi kuwa huyu atakuwa mke wa Prezzo



0 comments:
Post a Comment