https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Lionel Messi: Hat Tricks 35 – hizi hapa 3 za haraka zaidi

    Kuangalia Messi akifunga hat trick sio jambo la ajabu tena machoni mwetu, lakini kwa namna alivyofunga hat trick yake ya mwisho hivi karibuni ameweka alama nyingine kwenye maisha yake ya soka.
     Akitokea benchi katika dakika ya 61 huku Argentina ikiwa inaongoza kwa goli moja, nahodha huyo wa Argentina akafunga hat trick yake nyingine.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Lionel Messi: Hat Tricks 35 – hizi hapa 3 za haraka zaidi Rating: 5 Reviewed By: Anonymous
    Scroll to Top