https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    MFANYAKAZI WA KAMPUNI YA NDEGE YA VIRGIN AKUTWA AKIWA AMEUCHAPA USINGIZI AKIWA KAZINI


    Mfanyakazi wa kampuni ya ndege ya Virgin amejikuta akipigwa na butwaa baada ya kukutwa akiwa ameuchapa usingizi na Mmiliki wa Kampuni hiyo Richard Branson.

    Mfanyakzi huyo aliyekuwa katika timu ya wafanyakazi wa dharura, alikutwa akiwa amejikunja kwenye kochi akiuchapa usingizi kwenye ofisi ya Virgin, Australia Jijini Sydney.

    Mmiliki wa Virgin kabla ya kumuamsha aliamua kupiga naye picha na kisha kumstua mfanyakazi huyo ambaye hakuamini macho yake na kuzania kuwa anaota.


    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: MFANYAKAZI WA KAMPUNI YA NDEGE YA VIRGIN AKUTWA AKIWA AMEUCHAPA USINGIZI AKIWA KAZINI Rating: 5 Reviewed By: Anonymous
    Scroll to Top