https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Serikali Yakubali Yaishe: Bunge Kurushwa LIVE Redioni


    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye amesema serikali imekubali kurusha matangazo ya bunge ya moja kwa moja kupitia redio nchini.

    Hapo Mwanzo, Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo, Nape Moses Nnauye, alisema Televisheni ya Taifa imeacha kurusha LIVE kipindi cha Bunge kuanzia jana ili kubana matumizi. Na itakuwa ikirekodi baadhi ya matukio na kuonyesha usiku.

    Swala la kusitisha Matangazo ya live yalilalamikiwa sana na wabunge hasa wa akambi ya Upinzani.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Serikali Yakubali Yaishe: Bunge Kurushwa LIVE Redioni Rating: 5 Reviewed By: Anonymous
    Scroll to Top