Klabu ya Manchester City ya Uingereza leo June 2 2016 imetangaza kukamilisha usajili wa kwanza wa kiungo wa kimataifa wa Ujerumani aliyekuwa anaichezea klabu ya Borrusia Dortmund Ilkay Gundogan.
Man City wametangaza kumsajili Ilkay Gundogan
kwa mkataba wa miaka minne lakini ada ya usajili ya nyota huyo
inakadiliwa kufikia pound milioni 21 ambazo ni zaidi ya bilioni 60 za
kitanzania.
.@Guendogan8 signs for City! #WelcomeIlkay #mcfc https://t.co/a5Nkykajbl— Manchester City FC (@MCFC) June 2, 2016


0 comments:
Post a Comment