Tunatangaziwa kwa mbwembwe kuwa Taifa letu linaenda kujifunza Teknolojia
kutoka Rwanda. So shameful! Taifa ambalo limeshiriki kupigania uhuru wa
nchi karibia zote za Afrika. Taifa lenye mamia ya MAPROFESA na
wataalamu wa Teknolojia za kila namna. Kwa hiyo hawa MAPROFESA wetu
tunaowalipa mamilioni ya mishahara kwa mwezi, tena waliosomea teknolojia
mbalimbali Uchina, Urusi, Marekani, Ujerumani, Uingereza na kwingineko
(kwenye vyuo vinavyoheshimika duniani) ni Maprofesa UCHWARA! Tatizo la
nchi hii ni kubwa hadi mkuu wetu hajua tutaanzia wapi. Kwa uwazi kabisa
nasema hii ni AIBU KUU!
Mtatiro J
Mtatiro J
0 comments:
Post a Comment