Akari wa zimamoto shujaa, Jasim Issa Mohammed Hassan, amefariki dunia wakati akijaribu kuzima moto katika ndege ya Shirika la Ndege la Emirates iliyoanguka wakati ikitua na kujeruhi abiria 10.
Taarifa zaidi zimebainisha kuwa rubani waliokuwa wakiongoza ndege hiyo aina ya Boeing 777 walijaribu kubadili muelekeo wa ndege hiyo kutua kabla ya kuanguka ikiwa na watu 300, ikitokea nchini India.
Vikosi vya zimamoto vikizima moto katika ndege hiyo huku moshi mzito ukionekana
Ndege hiyo inavyoonekana baada ya vikosi vya zimamoto kufanikiwa kuuzima moto huo





0 comments:
Post a Comment