Bonge la Nyau ametuletea hii video mpya ‘Aza’ akiwa na Q Chillah
Msanii wa Bongo Fleva, Bonge la Nyau time ameachia hii video mpya ya single iitwayo Aza aliyomshirikisha Q Chillah, video hiyo imetayarishwa na Kwetu Studio.
Ukishamaliza kuitazama hii video sio mbaya ukituachia na comment yako wakali hawa watapita hapa kujua Watanzania wameipokeaje.
0 comments:
Post a Comment