https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    MVUA YA GHARIKA YASABABISHA VIFO VYA WATU 20 NCHINI MACEDONIA

    Watu wapatao 20 wamekufa kufuatia mvua ya gharika katika Jiji Kuu la Skopje nchini Macedonia iliyosababisha mafuriko.

    Miili ya watu waliokufa imepatikana leo majira ya saa 8:30 asubuhi maafisa wa nchi hiyo wamesema na kuongeza kuwa watu sita hawajulikani walipo.

    Baadhi ya waathirika walikufa maji wakiwa ndani ya magari yao. Mafuriko hayo pia yamesomba lami katika baadhi ya barabara za Jiji hilo pamoja na magari.
                           Watu wakikatiza kwenye maji yaliyotokana na mvua hiyo kubwa
                           Magari yaliyosombwa na maji ya mafuriko yakiwa yamepandiana
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: MVUA YA GHARIKA YASABABISHA VIFO VYA WATU 20 NCHINI MACEDONIA Rating: 5 Reviewed By: Anonymous
    Scroll to Top