https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    MWANARIADHA WA AFRIKA KUSINI OSCAR PISTORIUS AUMIA AKIWA GEREZANI

    Mwanariadha wa Afrika Kusini aliyefungwa Oscar Pistorius amepatiwa matibabu hospitali, huku kukiwa na taarifa kuwa ameumia kwenye viwiko vyake vya viganja.

    Msemaji wa gereza amekataa kutoa taarifa za majeraha ya mwanariadha huyo mlemavu, kwa madai kuwa ya usiri wa maradhi ya mgonjwa. Amesema Pistorius alijiumiza baada ya kuanguka kitandani.

    Mwezi uliopita waendesha mashtaka walisema kifungo cha miaka sita alichopewa kwa kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp ni kidogo watakata rufaa.
                             Reeva Steenkamp wakati wa uhai wake akiwa na Oscar Pistorius
                                      Gereza alilofungwa mwanariadha mlemavu Oscar Pistorius
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: MWANARIADHA WA AFRIKA KUSINI OSCAR PISTORIUS AUMIA AKIWA GEREZANI Rating: 5 Reviewed By: Anonymous
    Scroll to Top