Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary wakiteremka kuelekea eneo la
kuchinjia ng'ombe katika kiwanda cha nyama Ngulu Hills Ranch kilichopo
Morogoro wakati walipokitembelea kiwanda hicho Agosti 3, 2016.
Watoto
na wananchi wa kijiji cha Majichumvi wilayani Mvomero wakionyesha
mabango wakati WaziriMkuu,Kassim Majaliwa aliposimama kijijini kwao
kuwasikiliza Agosti 3, 2016.
Waziri
mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Bibi Halima Mwishehe alipouliza
swali wakati Waziri Mkuu alipozungumza na Wananchi kwenye stendi mpya ya
Msamvu Morogoro baada ya kukagua ujenzi wake Agosti 3, 2016. Kulia ni
Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Dkt. Stephene Kebwe.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


0 comments:
Post a Comment