HII NDO PESA ATAKAYO LIPWA SAIDA KAROLI NA DIAMOND…UMASKINI WA SAIDA KALOLI BAIBAI SASA
Diamond Platinumz asema asilia 25 ya mapato ya wimbo wakempya ‘Salome’ yatakwenda kwa Saida Karoli, ameamua kufanya hivyo kama kulipa fadhila kwa mwanadada huyo na uongozi wake kumpa ruhusa na baraka zote za kuurudia wimbo huo
0 comments:
Post a Comment