PICHA YA SIKU:Muonekano mpya wa The Weeknd na utani kwa Trump.
Baada ya The Weeknd kufuta picha zake zote kwenye ukurasa wake wa Instagram,ameonesha meonekano wake mpya pamojana kava la album yake mpya,"Starboy".
Mitandao nayo haishi vituko kwenda kwa Mgomea Urais wa Marekani Donald Trump...!!
0 comments:
Post a Comment