
Ajali hii
imetokea leo katika eneo la Emaus, Mkoani Dodoma ambapo imehusisha gari
kubwa mbili na moja dogo aina ya Toyota Noah. Inadaiwa kuwa Mtu mmoja
amepoteza maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa. Chanzo cha ajali hiyo
bado hakijafahamika mpaka sasa.




0 comments:
Post a Comment