Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsalimia kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin alipohudhuria kwenye sherehe za Mabohora za kuadhimisha Mwaka Mpya wa kiislamu 1438 katika Msikiti wa Bohora Upanga jijini Dar es salaam Oktoba 08,2016
RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI MGENI RASMI, KWENYE SHEREHE ZA MABOHORA ZA KUADHIMISHA MWAKA MPYA WA KIISLAMU 1438 KATIKA MSIKITI WA BOHORA UPANGA JIJINI DAR ES SALAAM OKTOBA 08,2016