MCHICHA ni mboga maarufu miongoni mwa watanzania. Mbali na kutumiwa kama mboga, mchicha ni tiba ya matatizo mbalimbali ya kiafya.
Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali za kitaalamu, mchicha huweza kutibu matatizo yafuatayo :
i. Kuumwa mgongo
ii. Kusafisha njia ya mkojo
iii. Kusafisha damu
iv. Unatibu Magonjwa ya Figo
v. Unatibu minyoo
vi. Unatibu Baridi yabisi
vii. Tezi la shingo
viii. Homa
ix. Kuongeza damu
x. Unasaidia kupata haja ndogo kwa wingi
xi. Unarutubisha uwezo wa kuona vizuri.
ii. Kusafisha njia ya mkojo
iii. Kusafisha damu
iv. Unatibu Magonjwa ya Figo
v. Unatibu minyoo
vi. Unatibu Baridi yabisi
vii. Tezi la shingo
viii. Homa
ix. Kuongeza damu
x. Unasaidia kupata haja ndogo kwa wingi
xi. Unarutubisha uwezo wa kuona vizuri.
JINSI YA KUTUMIA MCHICHA KAMA DAWA
MATAYARISHO
Chukua mchicha kilo 1 ya mchicha, chemsha maji lita 2 na nusu. Yakichemka loweka mchicha kwa dakika 15. Tumia kikombe. Ni bora utumie yote kwa siku . Dozi ni siku 5
KAMA UNATAKA KUTIBU MGONGO: Chukua mchicha ponda. Chua mara 3 kwa siku. Usiku unapasha moto mchicha kisha unufunga mahali panapouma. Lala nao wakati vuguvugu la joto lake lenye maji ndani (dawa) ikiingia ndani fanyahivyo kwa siku 5, ukibadilisha kila siku (fresh)
0 comments:
Post a Comment