Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Dkt. Khatibu Malimi Kazungu kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha
na Mipango Ikulu jijini Dar es Salaam Desemba 15,2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wa
pili kutoka kulia, Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango
wakwanza kushoto, Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Doto James wakwanza
kulia pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo Dkt. Khatibu Malimi
Kazungu Ikulu jijini Dar es Salaam
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



0 comments:
Post a Comment