Rais
Magufuli ameviagiza vyombo vya ulinzi na usalama kuwakamata wanaohusika
na Dawa za Kulevya bila kuangalia umaarufu au cheo cha mtu.
Magufuli
ameyasema hayo leo alipokuwa akizungumza mara baada ya kuwaapisha
viongozi mbalimbali akiwemo Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Vanance
Mabeyo pamoja na viongozi wengine wa majeshi, na mabalozi.
0 comments:
Post a Comment