https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    VAN GAAL ASHAURIWA KUTUMIA MABEKI WANNE

    24CE905900000578-2917296-image-a-2_1421737593032
    Gary Neville amemshauri kocha wa  Manchester United kutumia mabeki wanne badala ya watatu
    Gary Neville amemshauri bosi wa Manchester United, Louis van Gaal kuendelea kutumia mabeki wanne katika mechi zote zilizosalia msimu huu.
    Mashetani wekundu walianza na mabeki watatu wa kati katika ushindi wa 2-0 dhidi ya QPR kwenye mechi ya jumamosi ya ligi kuu England, lakini walibadilisha na kuingia katika mfumo wa mabeki wanne na hatimaye Marouane Fellaini na James Wilson walifunga magoli kuipa pointi tatu Man United.
     
    Mashabiki wa United hawapendi mfumo unaopendwa zaidi na Van Gaal wa 3-5-2 na Neville amewaunga mkono.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: VAN GAAL ASHAURIWA KUTUMIA MABEKI WANNE Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top