DIAMOND NA ZARI WALIVYOTUA MJINI SONGEA TAYARI KUBURUDISHA WANANCHI KWENYE MAADHIMISHO YA MIAKA 38 YA KUZALIWA KWA CCM
Mwanamuziki
Diamond Platnumz na mpenzi wake Zari wakiwasili kwenye uwanja wa ndege
wa Songea tayari kwa kufanya onesho kubwa kwenye sherehe za miaka 38 ya
kuzaliwa kwa CCM zinazofanyika kwenye uwanja wa Majimaji mjini Songea
leo ambapo viongozi mbalimbali wakiongozwa na Mwenyekiti wa chama hicho
Dr. Jakaya Kikwete.
Diamond Plutnamz akiongozana na mpenzi wake Zari wakiondoka kwenye uwanja wa ndege wa Songea kuelekea hotelini.
Mkuu wa wilaya ya Songea Bw.Joseph Mkirikiti akisalimiana na Zari Mpenzi wa Diamond Plutnamz.
Item Reviewed: DIAMOND NA ZARI WALIVYOTUA MJINI SONGEA TAYARI KUBURUDISHA WANANCHI KWENYE MAADHIMISHO YA MIAKA 38 YA KUZALIWA KWA CCM
Rating: 5
Reviewed By: Unknown