Mwenyekiti
wa Chama Tawala cha CCM,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na maelfu
ya wananchi wakati akiingia katika uwanja wa MajiMaji mjini Songea leo
kuongoza kilele cha sherehe za kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM.
Mwenyekiti
wa Chama Tawala cha CCM,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa viongozi
mbali mbali wa CCM wakati akiingia katika uwanja wa MajiMaji mjini
Songea leo kuongoza kilele cha sherehe za kuadhimisha miaka 38 ya
kuzaliwa kwa CCM.
Mwenyekiti
wa Chama Tawala cha CCM,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride la
heshima lililoandaliwa na UVCCM katika uwanja wa MajiMaji mjini Songea
leo katika kilele cha sherehe za kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa
CCM.
Mwenyekiti
wa Chama Tawala cha CCM Rais,Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na viongozi
wengine wa CCM wakipokea gwaride la heshima lililoandaliwa na UVCCM
katika uwanja wa MajiMaji mjini Songea leo katika kilele cha sherehe za
kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM.
Gwaride
la lililoandaliwa na UVCCM likitoa heshima kwa viongozi katika uwanja
wa MajiMaji mjini Songea leo wakati wa kilele cha sherehe za kuadhimisha
miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM.
Mwenyekiti
wa Chama Tawala cha CCM,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia maelfu ya
wananchi kwenye uwanja wa MajiMaji mjini Songea leo katika kilele cha
sherehe za kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM.
Msanii
Diamond akipongezwa na chipukizi wa UVCCM baada ya kutumbuiza katika
uwanja wa MajiMaji mjini Songea leo katika kilele cha sherehe za
kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM.
Mwenyekiti
wa Chama Tawala cha CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea wanachama
wapya akiwa na Mbunge wa Songea Mjini Dkt Emmanuel Nchimi na Katibu Mkuu
wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana katika uwanja wa MajiMaji mjini Songea
leo,katika kilele cha sherehe za kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa
CCM. PICHA NA IKULU.