https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    JOTI Amwisha Pete Ya Uchumba Mpenzi Wake Wa Siku Nyingi!!!


    JOTI Amwisha Pete Ya Uchumba Mpenzi Wake Wa Siku Nyingi!!!
    Kwa mujibuwa mtandao wa  JF, Mwigizaji  wa vichekesho Lucas Mhuvile, almaarufu kama Joti, anayepiga kazi kwenye kampuni ya Orijino Komedi, amemvisha pete mpenzi wake wa siku nyingi, ikiwa ni ishara na dalili njema kwamba safari ya kuelekea kwenye taasisi muhimu zaidi duniani ya NDOA imewadia..


    Akiwa na swahiba wake wa siku nyingi, Mr. Mjuni Sylvatory a.k.a Mpoki, Joti alionekana mwenye furaha muda wote kwa kutimiza tendo hilo huku akiwa amealika watu wachache sana kuhudhuria tukio hilo.
    Bongomovies.com bado haijazithibitisha taarifa hizi.
    Kama ni kweli, tunampongeza sana na kumtakia kila la kheri yeye pamoja na mwenza wake
    02.02.2015 -  Tags:  JOTI 
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: JOTI Amwisha Pete Ya Uchumba Mpenzi Wake Wa Siku Nyingi!!! Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top