Taarifa
za hivi punde zinabainisha kuwa mwandishi wa habari raia wa Japan
aliyekuwa akishikiliwa na kundi linalojiita Islamic state of Iraq and
the levant ameuawa kwa .....
Awali ISIL ilihitaji dola million Mia mbili kama kikombozi (ransom) ili kumwachia huru madai yaliyopingwa na Japana
Kenji goto anakuwa mjapani wa pili kuuawa katika kipindi cha mwezi mmoja na kundi hilo