Kupitia
Instagram mrembo huyo wa Uganda ambaye makazi yake yako Afrika Kusini
amepost picha kadhaa akiwa na mpenzi wake Diamond Platnumz kwenye Gari
aina ya BMWKatika mitoko yako ya weekend hii usije kushtuka
utakapokutana na couple fulani ya ‘Ameizing’ ya TZ+UG, sababu Zari Tlale
a.k.a The Boss Lady yupo ndani ya jiji la Dar au kama anavyopaita
mrembo huyo D-City.
Licha
ya sasa kuwa Diamond na Zari wanajulikana kuwa nai wapenzi lakini
wanapoulizwa juu ya Uhusiano wao wamekuwa wakikanusha na kusisitiza kuwa
wanaproject ya pamoja.Lakini safari hii amethibitisha mwenyewe kwa
kauli yake baada ya kumuita Girlfriend wa dancer wa Diamond 'wifi'
Kwenye picha aliyopiga na msichana huyu zari ameandika "with wifi@jujudumz Ount about D-City"
Kwenye picha aliyopiga na msichana huyu zari ameandika "with wifi@jujudumz Ount about D-City"