https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Breaking news: Baada ya Mashekh Bagamoyo, Wachungaji wamfuata Edward Lowassa kumuomba kugombea Urais




    Leo katika Hali isiyo ya kawaida wachungaji wavamia Eneo la Area D ambapo ni Makazi ya viongozi mbali mbali wakimsaka Edward Lowassa. viongozi hao wa dini walikuwa na shauku kubwa na nyuso za furaha wakiimba nyimbo za matumaini Mapya na Edward lowassa.
    Aidha misururu hio imesababisaha Ndugu Samwel Sita kusubiri kwa Muda kupisha viongozi hao kwenda kuiona nuru ya MATUMAINI. pia ilimuwia vigumu ndugu Fredric Sumaye kuwahi appointments yake na Spika wa Bunge kupisha msafara takatifu kwenda Jirani yake Edward Lowassa.
    Mambo yanazidi kupamba moto kuelekea nuru ya matumaini kwa Watanzania ambao mara zote wamuonapo Edward Lowassa hupata faraja.
    Wachungaji hao wametabiri na kuahidi kunena kwa vitendo, na mpaka sasa bado wanaendelea kujieleza ni nini wanacho muahidi bwana Edward Lowassa kama balozi wamuaminiye katika safari ya MATUMAINI,
    Endelea kufuatilia hapa hapa kwa habari kwa kina
    picha kwa hisani ya JAMII FORUM
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: Breaking news: Baada ya Mashekh Bagamoyo, Wachungaji wamfuata Edward Lowassa kumuomba kugombea Urais Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top