https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Dar es Salaam: Wafanyabiashara wa Kariakoo Waendelea Na Mgomo Kushinikiza Mahakama Imwachie Huru Mwenyekiti Wao



    Wafanyabiashara wa eneo la Kariakoo Jijini Dar es Salaam wamefunga maduka yao hii leo, kushinikiza mahakama kumuachia huru Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara nchini Johnson Minja.

    Hapo jana Mahakama Mkoa wa Dodoma ilimfutia dhamana Minja kutokana na kukiuka masharti ya dhamana aliyopewa ikiwemo ya kutowazuia wafanyabiashara kufunga maduka yao wakati kesi yake inaposikiliwa mahakamani.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: Dar es Salaam: Wafanyabiashara wa Kariakoo Waendelea Na Mgomo Kushinikiza Mahakama Imwachie Huru Mwenyekiti Wao Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top